Sunday, 29 April 2018

MVUA YA MAWE YALETA MAAFA KAGERA


KAYA 150 za mkoani Kagera jana Jumamosi zimejikuta paa za nyumba zao zikiezuliwa na mvua ya mawe ambayo inaendelea kunyesha Biharamulo mkoani humo, pia mvua hiyo iliambatana na upepo mkali.
Ekari 460 za mashamba ya mazao ya Pamba, Mihogo, Alizeti na Mpunga zimeharibiwa vibaya

No comments:

Post a Comment