Live : Fuatilia Hapa Tukio la Kusimikwa Kwa Askofu Mkuu Jimbo Katoliki Arusha
Askofu wa Jimbo la Moshi Askofu Mkuu Mteule, Isaac Amani.

MISA na sherehe ya kumsimika aliyekuwa Askofu wa Jimbo la moshi Askofu Mkuu Mteule, Isaac Amani inaendelea katika Parokia ya Mt Mt. Theresia Arusha.

Mhe. Rais Magufuli amewasili katika viwanja vya Kanisa la Mtakatifu Teresia wa Mtoto Yesu, Jimbo Kuu Katoliki la Arusha ambapo anashiriki Ibada ya kumsimika Mhashamu Isaac Amani kuwa Askofu Mkuu wa Jimbo Hilo

Bonyeza Play Hapo Chini kutazama kinachoendela 

Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: