Kauli 10 za mtu asiye na malengo wala uthubutu - MSUMBA NEWS BLOG

Thursday, 5 April 2018

Kauli 10 za mtu asiye na malengo wala uthubutu

Kauli 10 za mtu asiye na malengo wala uthubutu.

1. Sina mtaji
2. Sina Connection
3. Nitaanza rasmi kesho
4. Mimi ni wa hivihivi tu
5. Mifumo mibovu ya Serikali ndiyo inayonirudisha nyuma
6. Mke/mme/ndugu zangu Ndiyo walioniangusha/kunitenda/kikwazo
7. Kupata ni majaliwa
8. Usilazimishe mambo
9. Kuna watu special siyo mimi.
10. Sina bahati
Comments


EmoticonEmoticon

Notification
This is just an example, you can fill it later with your own note.
Done