Tuesday, 27 March 2018

Waandishi wa habari watembelea kituo cha Data Centre cha Kampuni ya Vodacom Tanzania


Meneja wa kituo cha Data Centre cha kampuni ya Vodacom Tanzania, Imani Alimanya (kulia) akitoa maelezo kuhusu kituo hicho kinvyofanya kazi mbele ya waandishi wa habari waliotembelea kituo hicho. 
  Meneja wa IP/PACO wa kampuni ya Vodacom Tanzania akifafanua jambo kwa waandishi wa habari waliotembelea kituo cha Data Centre cha kampuni hiyo kilichopo Mbezi Juu jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma cha kampuni ya Vodacom Tanzania, Jacqueline Materu akifafanua jambo kwa waandishi wa habari waliotembelea kituo cha Data Centre cha Kampuni hiyo kilichopo Mbezi Juu jijini Dar es Salaam.
 Mwandishi wa Habari wa gazeti la The Citizen, Mnaku Mbani akiuliza swali wakati waandishi hao walipotembelea kituo cha Data Centre kilichopo Mbezi Juu jijini Dar es Salaam.
Picha ya Pamoja

No comments:

Post a Comment