Picha : Waziri Alivyotembelea barabara ya Sakina - Tengeru Arusha


Waziri wa Ujenzi, Prof. Mbarawa amekagua leo barabara ya Sakina - Tengeru (KM 14.1) ambayo ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 100 na barabara ya mchepuo ya Arusha(Arusha Bypass- KM 42.4) ambayo imefikia takribani asilimia 56 na ujenzi wake unaendelea.


Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: