Picha : Mwenyekiti wa Uvccm Taifa Amjulia hali Mwenyekiti wa Chamwino


Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Kheri James amemjulia hali Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Chamwino mkoa wa Dodoma aliyepata majeraha ya moto Jumapili ya wiki hii baada ya nyumba aliyokuwa akiishi kuungua kwa moto.Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: