Sunday, 18 March 2018

New Music Video: Weusi X Christian Bella – Nijue

Kundi la Weusi limeachia video ya wimbo wa “Nijue” ambao limeshirikiana na King of the best melodies, Christian Bella.
Mtayarishaji wa mdundo ni Nahreel kutoka The Industry na Video imeongozwa na Hanscana, itazame hapa chini kisha acha comment yako

No comments:

Post a comment