Monday, 26 March 2018

LIVE: RAIS MAGUFULI AZINDUA MAGARI 181 YA MSD

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Leo Machi 26, 2018, anazindua magari 181 ya MSD kwa ajili ya kusambaza dawa na vifaa tiba.
Hafla ya uzinduzi wa magari hayo inafanyika, MSD Keko – Mwanga jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a comment