Tuesday, 27 March 2018

LIVE: RAIS MAGUFULI APOKEA RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Magufuli, leo Machi 27, 2018, anapokea ripoti kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali, Profesa Musa Assad.

Tukio hilo limejiri Ikulu jijini Dar es Salaam.

VIDEO: FUATIKLIA HAPA

Previous Post
Next Post

post written by:

0 comments: