Saturday, 3 March 2018

Diwani wa Chadema Asema hawezi kujiuzulu nafasi yake kwa kumuunga mkono Rais


Diwani wa kata ya baraa jijini Arusha George Nditika amesema awezi kujiuzulu nafasi yake ya udiwani kwa kumuunga mkono Rais kwa kuhama chama chake ila amefanya kuunga mkono jitihada za kupambana na umaskini kwa kuwekeza katika biashara ya hotel ya kitalii ambapo amefungua hotel ya sarafina lounge  iliopo wilayani babati mkoa wa manyara ambapo ametoa ajira kwa vijana wa kitanzania wapatao 150.

Diwani huyu amesisitiza kauli ya Rais ya hapa kazi tu na kusema kujiuzulu udiwani sio sera bali kikubwa ni kufanya kazi kwa bidii katika uwekezaji wa ndani.

No comments:

Post a comment