Saturday, 24 March 2018

ASKARI DODOMA WAFANYA MAZOEZI YA NGUVU


ASKARI na maafisa wa vyombo vya ulinzi na usalama mkoani Dodoma, leo Machi 24, 2018 wamefanya zoezi la utayari kwa pamoja ili kuendelea kulinda amani. Viongozi wa vyombo hivyo wametoa onyo kwa yeyote atakayetaka kuharibu hali ya utulivu na amani iliyopo mkoani humo.

No comments:

Post a comment