Uvccm Arusha watembelea mradi wa barabara ya Sakina-Tengeru na Arusha Bypass


Mwenyekiti wa Vijana Ccm Mkoa wa Arusha Saitoti Zelothe Akiwa ameambatana na Mkuu wa mkoa Mrisho Gambo  wakikagua mradi wa ByPass Usa River -Arusha. Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana mkoa wa Arusha Saitoti Zelothe Akimshukuru Meneja wa Mradi huo kwa kuhakikisha mradi huo unapatia vijana wengi ajira.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo Akitoa maelekezo kwa Meneja wa Mradi huo.

Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Umoja wa vijana Arusha Uvccm Saitoti Zelothe Akifuatiwa na Mkuu wa Wilaya ya Arusha Mjini Gabriel Daqqarro na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Mashaka Gambo walipotembelea mradi huo.

Picha na Ofisi ya Katibu Hamasa Chipukizi
Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: