Tuesday, 27 February 2018

Nyumba ya urithi haibomolewi" - Lazaro Nyalandu

Aliyekuwa Mbunge wa Singida Kaskazini, Mhe Lazaro Nyalandu amefunguka na kusema kuwa nyumba ya urithi haiwezi kubomolewa na kudai kuwa tofauti za kisiasa, ukabila na dini haiwezi kuwa sababu kwa nyumba ya urithi kubomolewa.
Nyalandu amesema hayo kupitia mtandao wake wa Facebook akiwa nchini Kenya na kudai Utu, amani, haki, heshima ndiyo mshikamano wa Watanzania wote bila kujali tofauti za kisiasa wala dini zao. 

No comments:

Post a comment