Ndugu wa Akwilina wachangisha fedha za usafiri


Familia ya mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Akwilina Akwiline wamelazimika kuchangisha fedha ili kukodi magari zaidi baada ya idadi ya watu wanaotaka kusafiri kwenda Moshi mkoani Kilimanjaro kwa mazishi kuongezeka.
Akizungumza na MCL Digital leo Februari 22, 2018, msemaji wa familia, Festo Kavishe amesema hali hiyo inatokana na magari mawili yalitotolewa na Serikali kujaa.

Previous Post
Next Post

post written by:

0 komentar: