Katika sehemu nyingi za burudani, mazungumzo ya marafiki siku hizi hayaishii kwenye muziki au mpira pekee. Mara kwa mara kuna anayemuuliza mwenzake kama tayari ameionja ORIJIN na anaionaje ladha yake.
Winning Spirit Pre & Primary School Inawatangazia wazazi/Walezi wote wenye watoto waliofikia umri wa kuanza shule ya awali kuanzia miaka miwili na nusu hadi mitano kuwa shule yetu iliyopo Terrat Kwa Mrombo inatoa fursa ya masomo ya awali kama ifuatavyo:
- Baby class kwa Mwaka mmoja
- Kindergarten kwa Mwaka mmoja
- Pre- Unit kwa Mwaka mmoja
- Primary school kuanzia darasa la kwanza hadi la saba.
Shule ilipo: Shule ipo Kata ya Terrat Wilaya ya Arusha Karibu na Kanisaa la Mtakatifu Yuda Tadei.
Kauli mbiu: "Quality Education & Care for a Child"
+255 754 646 446
+255 754 421 042
+255 629 321 844
+255 754 381 844
Tatizo hili linatokana na Mifumo ya Google kubadilika na kusababisha Baadhi ya mitandao ya simu kushindwa kutoa Data zinazoweza kufungua baadhi ya link katika blog yetu.
Kwa watumiaji wa Airtel,Vodacom,Ttcl na Tigo hawakukumbwa na tatizo hili ila kwa watumiaji wa Halotel ndio wamekumbwa na tatizo hili.
Ila kwa sasa tunapamabana kutatua tatizo hili ila kwa upande wa mtandao wa Tigo tatizo limemalizika kwa sasa tatizo limebakia kwa upande wa Vodacom tu.
Bado tunaendelea na Ufumbuzi wa tatizo hili kwa Upande wa Halotel tunaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza katika kipindi hiki chote.
Kwa Maoni au maswali wasiliana nasi kupitia namba hizi 0758767077
Kituo cha Jemolojia Tanzania ( TGC ) ni Kituo cha Serikali, Kipo chini ya Wizara ya Madini,kinatoa mafunzo na huduma mbalimbali katika fani za uongezaji thamani madini.
Kituo kinatangaza nafasi za mafunzo ya muda mfupi katika fani za ukataji na ung'arishaji madini ya vito (Lapidary ) , Sayansi ya madini ya Vito (Gemmology), Usonara (Jewellery design and jewellery manufacturing).
Kituo kimesajiliwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kwa namba ya usajili REG/SAT/033 kutoa mafunzo katika ngazi za.
1. Basic Technician Certificate in Gem and Jewellery Technology (NTA Level 4)
2. Technician Certificate in Gem and Jewellery Technology (NTA Level 5)
3. Ordinary Diploma in Gem and Jewellery Technology (NTA Level 6)
Mafunzo haya yatatolewa katika Kituo cha Jemolojia
Tanzania (TGC) ambacho kipo Jijini Arusha katika barabara ya
Themi-Njiro mkabala na Ofisi ya Afisa Mkazi Madini Arusha.















