Kujitoa mhanga kwa miaka mingi kuwasomesha watoto, kuwauguza, na kujinyima kila kitu ili wapate maisha mazuri ni jukumu ambalo kila mzazi analibeba kwa upendo na matumaini ya kutunzwa uzeeni.

Hata hivyo, pale watoto hao wanapofanikiwa, wakapata kazi nzuri na maisha ya kifahari mjinikisha wakakusahau kabisa na kukutelekeza kwenye uzee wako, maumivu yake ni makali mno kuliko ugonjwa wowote.

Nilipambana sana kulea watoto wangu watatu baada ya kufiwa na mume wangu; niliuza shamba na kukopa ili kuhakikisha wote wanahitimu elimu ya chuo kikuu. Cha kusikitisha, baada ya kupata kazi zenye mishahara mikubwa, walibadilika kabisa.

Hawakuwa wakinipigia simu, hawakutuma hata fedha za chakula au dawa, na kila nilipowatafuta walidai wapo busy au kukata simu zangu, wakiniaacha nikiteseka na uzee na umaskini kijijini.

​Nilibaki nikilia peke yangu nyumbani, nikihangaika kupata hata mlo mmoja kwa siku huku majirani wakinicheka kuwa nilisomesha watoto ili wanitelekeze.

Rafiki yangu mzee wa rika langu alinitembelea na kunieleza ukweli kwamba watoto kuwasahau wazazi waliowatesekea mara nyingi hutokana na vifungo vya kishirikina kutoka kwa watu wenye wivu waliowafunga akili zao ili wasile matunda ya jasho langu. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: