Jina langu ni Hassan. Kufanya kazi kwa bidii na kujitoa kwa moyo wote katika kampuni au asasi kwa miaka mingi bila kuonekana thamani yako ni jambo linalokata tamaa na kuua morali ya maisha.

Kwa zaidi ya miaka nane, nilikuwa nikijituma usiku na mchana katika nafasi yangu ya kazi, nikitimiza wajibu wangu kwa uaminifu mkubwa na hata kufanya kazi za ziada ili kuleta matokeo mazuri.

Hata hivyo, kila fursa ya kupandishwa cheo au kuongezwa mshahara ilipowadia, mabosi wangu walinipita na kuwapa nafasi hizo watu wapya au wale waliokuwa na majungu na fitina.

Nilibaki nikitazama wenzangu wakipiga hatua, huku mimi nikiishia kupokea mshahara mdogo usiotosheleza hata mahitaji ya msingi ya familia yangu.

​Nikiwa kwenye majuto na msongo mkubwa wa mawazo nikifikiria kuacha kazi, kaka yangu mkubwa alinitembelea.

Baada ya kumsimulia dhuluma na kusahaulika huko kazini, alinieleza kwa huruma kuwa mara nyingi hali ya kuziba kwa nyota ya mafanikio na kutoonekana thamani kazini hutokana na fitina za kishirikina au vifungo kutoka kwa wafanyakazi wenzako wenye wivu. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: