Kumpoteza mtoto mdogo aliyetoka kucheza mlangoni kisha akatoweka kama moshi ni maumivu makubwa zaidi yanayoweza kumpata mzazi yeyote maishani. Siku hiyo ilianza kama siku nyingine zote za kawaida, lakini kufikia jioni, mwanangu wa miaka mitano hakuonekana tena eneo la nyumbani.
Tulitafuta kila kona ya mtaa, tukauliza majirani na ndugu, na hatimaye kutoa taarifa kituo cha polisi, lakini siku zilivyoenda ndivyo matumaini ya kumpata mtoto wangu wa pekee yalivyozidi kutoweka.
Kwa wiki mbili mtawalia, nyumba yetu ilitawaliwa na kilio na simanzi nzito, nikishindwa kula wala kulala huku mawazo mabaya ya kwamba huenda ameuawa au kuchukuliwa na watu wabaya yakinichoma sana moyoni.
Nikiwa kwenye maumivu hayo makali na polisi wakiwa hawana majibu ya kueleweka, bibi mmoja wa mtaani kwetu alinitembelea na kuninong’oneza kuwa kutoweka kwa mtoto mazingira ya ajabu mara nyingi hutokana na mikono ya chuma ulete au wachawi wanaowatwaa watoto kishirikina. SOMA ZAIDI.

Post A Comment: