Kila mwanamke anatamani kupata mwenza wa maisha anayejua thamani ya mapenzi, mwenye uaminifu, na anayeweza kumpa maisha ya amani na usalama wa kifedha.

Kwa miaka mingi, nilipitia maumivu makubwa kwenye mahusiano ya hapa nyumbani; niliahidiwa ndoa mara kadhaa lakini kila mara niliishia kuchezewa, kusalitiwa, na kuachwa nikiwa na maumivu ya moyo na madeni makubwa.

Nilitamani sana kupata mwenza kutoka nje ya nchi mpenzi wa kigeni au Mzungu mwenye upendo wa dhati ambaye angethamini mchango wangu na kunitoa kwenye msongo wa mawazo na maisha ya dhiki. Hata hivyo, kuipata ndoto hiyo haikuwa rahisi.

Nilijaribu kujiunga na mitandao mbalimbali ya kijamii na ya kutafuta wapenzi wa kigeni, lakini kila mwanamume niliyewasiliana naye alipoteza hamu au kukatisha mawasiliano ghafla kabla hata hatujakutana ana kwa ana.

Nilibaki nikijiuliza ni kwanini wenzangu walikuwa wakibahatika kupata wapenzi wa kigeni na kubadilisha maisha ya familia zao, wakati mimi kila mlango niliotaka kuufungua ulikuwa ukijifunga na kuniacha kwenye maumivu. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: