Kuitwa mama na kubeba kiumbe tumboni ni moja ya furaha kubwa na ndoto ya kila mwanamke aliyeko kwenye ndoa. Hata hivyo, kwangu mimi, miaka saba ya kwanza ya ndoa yangu iligeuka kuwa kipindi cha majuto, dhihaka, na machozi yasiyoisha.
Kila mwezi ulipopita bila kuona dalili za ujauzito, ndivyo matumaini yangu na mume wangu yalivyozidi kufifia. Tulitembea kwenye hospitali mbalimbali na kuonana na madaktari bingwa wa uzazi.
Nilitumia dawa za kila aina za kuweka homoni sawa na kusafisha kizazi, huku mume wangu naye akifanyiwa vipimo vilivyoonyesha hana tatizo lolote. Pamoja na vipimo vyote kuonyesha tuko salama, mimba haikutokea.
Nilianza kuona mabadiliko kutoka kwa ndugu wa mume wangu maneno ya chini chini, kebehi, na dharau zilianza kuelekezwa kwangu wakidai mimi ni “tumbo lisilobeba.”
Nilibaki nikilia usiku kucha, nikijifungia ndani kwa aibu na msongo mkubwa wa mawazo, nikihofia ndoa yangu ingevunjika muda wowote. SOMA ZAIDI.

Post A Comment: