Fursa za kupanda cheo na kufanikiwa kazini ni hamu ya kila mwajiriwa anayejituma na kutimiza wajibu wake kwa uaminifu. Hata hivyo, kwangu mimi, miaka kumi iliyopita ilikuwa ni kipindi cha vilio, maumivu, na kuvunjika moyo.
Pamoja na kuwa na elimu ya kutosha, utendaji wa hali ya juu, na nidhamu ya mfano kazini, nilijikuta nikisalia kwenye nafasi ile ile ya chini, huku watu niliowafundisha kazi na wengine waliokuja miaka mingi baada yangu wakiniruka na kupandishwa vyeo vya juu na kuongezewa mshahara.
Kila mara nafasi ya uongozi au usimamizi ilipojitokeza na kufanyiwa usahili, jina langu lilikuwa likionolewa dakika za mwisho bila sababu za msingi.
Nilianza kuona dharau kutoka kwa wafanyakazi wenzangu, na maneno ya kebehi yalianza kuenea yakidai mimi ni mtu asiyekuwa na bahati wala nyota ya uongozi.
Msongo mkubwa wa mawazo ulinipata, mshahara wangu mdogo ulishindwa kukidhi mahitaji ya familia, na nilianza kufikiria kuacha kazi kwa aibu na kukata tamaa kabisa na maisha. SOMA ZAIDI.
Post A Comment: