Soko la vinywaji linaendelea kubadilika kadri watumiaji wanavyotafuta uzoefu mpya. Ndiyo sababu ORIJIN imeendelea kuvutia macho ya wengi tangu ilipozinduliwa rasmi nchini wiki moja iliyopita.

Tofauti yake kubwa imeelezwa kuwa ni mchanganyiko wa herbs, roots na fruits za Kiafrika unaotoa ladha ya uchungu na utamu. Kwa baadhi ya waliokwisha kuionja, hiyo ndiyo sababu inayowafanya waendelee kuizungumza na kuwashauri wengine wajionee wenyewe.

Ikiwa na ORIJIN Bitters na ORIJIN Mixed (RTD), bidhaa hiyo imeleta chaguo jipya kwa watumiaji wanaopenda kujaribu ladha tofauti na walizozoea.
Share To:

OSCAR ASSENGA

Post A Comment: