Maisha yangu kwa miaka mingi yalikuwa kama mduara usio na mwisho wa kufeli. Kila jambo jema nililojaribu kuanzisha liliporomoka dakika za mwisho. Kama ni biashara, ilikufa ghafla pindi tu nilipoweka Mtaji.TAZAMA VIDEO HAPA.

Kama ni mahusiano, yalivunjika bila sababu ya msingi; na hata nilipopata fedha, zilipotea bila kufanya la maana. Nilikabiliwa na mikosi mfululizo kiasi cha kuanza kuamini kuwa labda nilizaliwa chini ya nyota ya nuksi na bahati mbaya tu.

​Ndugu na marafiki walizoea kuniona kama mtu wa mikosi. Kila nilipoomba msaada au ushauri, nilionekana kama mzigo. Msongo wa mawazo ulinisonga sana, na matumaini ya kufanikiwa maishani yalianza kutoweka kabisa.
Share To:

Post A Comment: