Nilifungua duka langu la nguo nikiwa na matumaini makubwa. Nilikuwa nimeweka akiba ya miaka mingi na hata kukopa fedha kutoka kwa ndugu ili kuhakikisha biashara inaanza vizuri. Nilikuwa na imani kwamba ndani ya miezi michache ningekuwa nimeanza kupata faida.

Lakini mambo hayakwenda kama nilivyotarajia. Kila siku nilikuwa nafungua duka mapema asubuhi na kulifunga jioni bila kuuza hata bidhaa chache. 

Wakati maduka yaliyokuwa jirani yangu yalikuwa yamejaa wateja, kwangu watu walikuwa wanapita tu bila hata kuingia.

Nilianza kushangaa ni kwa nini hali ilikuwa hivyo ilhali nilikuwa na bidhaa nzuri na bei za ushindani. Baada ya miezi sita, nilikuwa nimeanza kupata hasara kubwa.

Nilishindwa kulipa kodi ya fremu kwa wakati, madeni yakaanza kuongezeka na hata familia yangu ilianza kunishauri nifunge biashara. Nilihisi ndoto yangu ilikuwa imefika mwisho.Endelea Kusoma Kwa Kubofya Hapa.
Share To:

Post A Comment: