Kijijini kwetu kulikuwa na huzuni kubwa baada ya kifo cha mfanyabiashara mmoja aliyependwa na watu wengi.

Ingawa taarifa rasmi zilisema kwamba alikuwa amefariki kutokana na hali ya kawaida, kulikuwa na watu waliokuwa na mashaka. Baadhi ya ndugu zake waliamini kwamba kulikuwa na siri kubwa nyuma ya kifo chake.

Kadri siku za mazishi zilivyokaribia, uvumi ulienea kila kona ya kijiji. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: