Nilipoanzisha biashara yangu, sikuwahi kufikiria kwamba siku moja ningepokea oda kutoka sehemu ambazo sijawahi hata kufika. Mwanzoni biashara yangu ilikuwa ndogo sana.

Nilikuwa na wateja wachache kutoka eneo nililoishi, na mauzo yalitosha tu kuendesha shughuli za kila siku. Ingawa nilikuwa na ndoto kubwa, ukweli ni kwamba biashara ilikuwa inakua polepole kuliko nilivyotarajia.

Kwa kweli kulikuwa na wakati nilikata tamaa. Nilikuwa nikijitahidi kutangaza bidhaa zangu, kuboresha huduma, na kuwahudumia wateja vizuri, lakini matokeo hayakuwa makubwa. Wakati mwingine nilijiuliza kama biashara yangu ingeweza kufika kiwango nilichokuwa nikiota.

Kilichoniumiza zaidi ni kuona biashara nyingine zikikua kwa kasi huku yangu ikibaki pale pale. SOMA ZAIDI.
Share To:

Post A Comment: