Kwa muda mrefu maisha yangu yaligeuka kuwa uwanja wa mateso makali. Nilikuwa nikishuhudia mambo ya ajabu ambayo sikuwahi kufikiria yangeweza kunipata. Usiku nilipokuwa nikilala, nilisikia mizigo mizito ikinikandamiza kifua, nikashindwa kupumua na kushindwa hata kupiga kelele kuomba msaada.
Wakati mwingine nilikuwa nikiona vivuli vikizunguka chumbani kwangu, vikicheka kwa sauti ya kutisha, na mara nyingine nilihisi kama kuna mikono isiyoonekana ikinishika shingoni.
Wakati wa mchana hali haikuwa tofauti sana, nilikuwa nikihangaishwa na hofu isiyo na sababu, uchovu uliokithiri na migogoro isiyoisha katika maisha yangu. Nilijua wazi kwamba haya yote yalikuwa matokeo ya uchawi uliokuwa unanifuata kila mahali.
Kazi yangu ilianza kudorora kwa sababu nilikosa nguvu ya kufanya chochote. Ndugu na marafiki walianza kunitazama kama mtu asiye na msaada, na wengine walidhani nimechanganyikiwa. Nilijitahidi kutafuta msaada wa kawaida kwa madaktari na hata kwa maombi yangu ya binafsi, lakini mambo yaliendelea kuwa mabaya zaidi. Soma zaidi hapa
Post A Comment: