Baada ya kujifungua mtoto wetu wa pili, nilianza kugundua mabadiliko mwilini mwangu. Tendo la ndoa halikuwa na hisia zile zile kama zamani na nilianza kuhisi kama sehemu yangu imelegea. Nilikuwa na hofu kubwa kuwa mume wangu angeanza kuniona tofauti na hata kukosa hamu ya kuwa nami.
Nilipoteza kujiamini na nilijikuta naogopa kukutana naye faragha. Mume wangu hakuwa ananilaumu, lakini nilihisi tofauti katika namna alivyokuwa akinitazama.
Zamani alikuwa akinitafuta kila mara, lakini sasa alionekana kuepuka mazungumzo ya kimahaba. Nilihisi aibu na huzuni, na mara kadhaa nilijikuta nikilia usiku bila kumwambia mtu. Nilianza hata kuogopa kuwa ndoa yangu ilikuwa hatarini.
Nilijaribu njia kadhaa za kurejesha hali ya kawaida, kama mazoezi ya kegel na kutumia mafuta mbalimbali, lakini sikupata mabadiliko ya maana. Rafiki yangu wa karibu alipoona nimebadilika na sina furaha, aliniambia siri yake. Soma zaidi hapa

Post A Comment: