Nilikuwa nimechoka kabisa. Kila wiki nilikuwa nikiweka bets zangu kwenye michezo ya mpira kwa matumaini kwamba siku moja nitashinda jackpot na kubadilisha maisha yangu. Lakini kila mara nilikuwa napoteza. Mara nyingi nilikuwa nakosa mechi moja tu na tiketi yote inapotea.

Hili lilikuwa linaniumiza sana kwa sababu nilikuwa najua mpira, nilifuatilia takwimu, nilisoma maoni ya wachambuzi, lakini bado sikuwa napata matokeo niliyotarajia. Nilipoteza akiba yangu yote, na hata nilianza kukopa ili nisikose kuweka bashiri kila wiki.

Rafiki zangu walinicheka, wengine wakasema mimi ni mchizi wa kubashiri, na wengine waliniambia niachane na mchezo huu kabisa. Lakini moyoni nilijua lazima kuna njia sahihi ya kushinda siyo kila mtu anayeshinda jackpot anategemea bahati tu.

Mambo yalizidi kuwa mabaya nilipoanza kuuza baadhi ya vitu vidogo vidogo nyumbani ili nifadhili bashiri zangu. Nilihisi nimepoteza mwelekeo wa maisha. Kila mara niliposhindwa, nilikasirika na kujilaumu. Nilianza kuficha tiketi zangu kwa familia yangu kwa sababu sikuwa tayari kusikia lawama tena.

Nilipitia kipindi kigumu sana kisaikolojia; nililala vibaya, nilipoteza hamu ya kula, na hata nilihisi kuacha kabisa kujaribu tena. Nilikuwa nimefika mwisho wa matumaini, lakini bado ndani yangu kulikuwa na sauti ikisema suluhisho lipo, lazima kuna njia ya kutoka. Endelea kusoma zaidi hapa 

 

Share To:

contentproducer

Post A Comment: