Kwa miaka mingi wengi wenu mmekuwa mnalalamika kuwa wanakosa fedha nyingi, jambo ambalo linawafanya kushindwa kufanya mambo mengi maishani, lakini wajua waweza kupata fedha za majini kwa urahisi?.

Ndio majini, usishangae kwani waweza kumuita jini mwenye nguvu maishani mwako na akaweza kukufanyia chochote kile ambacho unataka au kuhitaji.

Sharti la kwanza kabisa, unatakiwa uwe na sababu kuu ya kumyhitaji jini, kwa mfano waweza kuwa wahitaji kuwa tajiri wenye fedha nyingi, pia watakiwa uwe msafi na mambo yako yote yawe yamenyooka sawa sawa, uwe mkweli kabisa na usiwe na adui yeyote maishani.

Ikiwa una adui maishani wapaswa kuenda na kumuomba msamaha, na uwe huru kabisa, ikiwa hutakua huru, kumdhibiti jini itakuwa ngumu na huenda asiweze kufuata maagizo yako hata kidogo na mwishoye mambo yanaweza kwenda ndivyo sivyo.

Iwapo hayo niliyokueleza hapo juu ni magumu kwako, usiwe na shaka kwani kuna njia nyingine ambayo ni rahisi sana na ningependa kukueleza kwa sababu utaenda kufanikiwa. Soma zaidi hapa 

Share To:
Next
This is the most recent post.
Previous
Older Post

contentproducer

Post A Comment: