Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda leo Mei 29, 2024 amekutana na kuzungumza na wanafunzi wa Taasisi ya Maendeleo ya Jamii Tengeru wakati akiwa kwenye muendelezo wa ziara yake ya kikazi ya kutembelea na kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo kwenye Halmashauri za Mkoa wa Arusha. 

Mhe. Makonda amewasisitiza umuhimu wa kupambana katika kutimiza ndoto zao kwa kuwasimulia historia ya Maisha yake na namna alivyofanikiwa kutimiza malengo aliyokuwa nayo.

Share To:

Post A Comment: