Mbunge wa Jimbo la Monduli amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan kwa maendeleo ya Elimu katika Jimbo la Monduli.

Mh Lowassa ameyasema hayo katika Mahafali ya 25 ya Kidato cha 6 Katika Shule ya Moringe Sokoine Sekondari.

Mh Fredy Lowassa ambaye alikuwa Mgeni Rasmi katika Mahafali hayo amesema wanamshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kwa kuwezesha Jimbo la Monduli katika Elimu pamoja na Maji.

Mh Lowassa amesisitiza kuhusu Changamoto ya Mabadiliko ya Tabia ya Nchi na Maendeleo ya Artificial Intelligence duniani.

Fredy Lowassa amewapongeza Wahitimu wote waliohitimu katika Shule hiyo ya Moringe Sokoine Sekondari.

Share To:

Post A Comment: