Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa amefanya mazungumzo na viongozi wa Wizara ya Maji wakiongozwa na Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso na Naibu Waziri Mhandisi Maryprisca Mahundi kuelekea utekelezaji wa bajeti ya Wizara hiyo iliopitishwa kwa kishindo wiki iliopita.


Wizara ya Maji ni moja wa Wizara zilizotengewa fedha nyingi ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma ya maji kwa wakati na ufanisi mkubwa.

Share To:

Post A Comment: