Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson (katikati), akizungumza na Spika wa Bunge la Sudan Kusini, Mhe. Jemma Kumba (kulia) pamoja na Spika wa Bunge la Malawi, Mhe. Catherine Hara katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Bali nchini Indonesia, leo Machi 24, 2022 alipohudhuria Mkutano wa 144 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

Share To:

Post A Comment: