Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella akiwa kwenye banda la TGNP kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yamefanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Mongella ameipongeza TGNP kwa kazi kubwa inayofanya katika kuleta usawa wa kijinsia nchini. Kushoto ni Mkurugenzi wa TGNP, Bi. Lilian Liundi. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella (katikati) akiwa katika banda la TGNP kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yamefanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Kushoto ni Mkurugenzi wa TGNP, Bi. Lilian Liundi.

Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella (katikati) akiwa katika banda la TGNP kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Kushoto ni Mkurugenzi wa TGNP, Bi. Lilian Liundi.

Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella (kulia) akiwa katika banda la TGNP kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yamefanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.Kushoto ni Mkurugenzi wa TGNP, Bi. Lilian Liundi.

Mgeni Rasmi ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella (kushoto) akiwa katika banda la TGNP kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa ambayo yamefanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha. Kushoto ni Mkurugenzi wa TGNP, Bi. Lilian Liundi.


Wadu wakiwa katika banda la TGNP kwenye maadhimisho ya siku ya wanawake duniani kitaifa katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.
Share To:

Post A Comment: