Ijumaa ya March 25 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Cccm Taifa {MNEC} Japhari Kubecha alifunga ndoa Jijini Dar es salaam na usiku wakuamkia leo imefanyika bonge la party la harusi yao ambayo ili hudhuriwa na watu mbalimbali ikiwemo Viongozi wa Kisiasa waliongozwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi Taifa Shaka Hamdu Shaka,Naibu Waziri wa Kilimo Anthony Mavunde,Mbunge wa Ukonga Jerry Slaa,Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Kheri James sambamba na Katibu Hamasa wa Uvccm Taifa Victoria Mwanziva.
Share To:

Post A Comment: