RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akikata utepe kuizindua Meli Mpya ya Mizigo na Abiria ya MV
Ikraam 1, na (kushoto kwa Rais) Mmiliki wa Meli hiyo Bw.Abduldhaful
Ismal Mohammed,uzinduzi huo umefanyika katika Bandari ya Wete Pemba,
wakati wa ziara yake Kisiwani Pemba.(Picha na Ikulu)
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akitembelea Meli Mpya ya MV Ikraam baada ya kuizindua rasmin
katika bandari ya Wete Pemba, ikifanya safari zake kati ya Unguja na
Pemba.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akimsikiliza Nahodha wa Meli ya Abiria na Mizigo ya MV.Ikraam 1,
wakati akitembelea meli hiyo baada ya kuizindua rasmin, hafla hiyo
imefanyika katika Bandari ya Wete Pemba.
MKURUGENZI
Mkuu wa Kampuni ya Meli ya Abiria na Mizingo ya MV Ikraam 1. Bw Juma
Amour akizungumza na kutowa maelezo ya kitaalamu ya Meli hiyo, wakati wa
hafla ya Uzinduzi huo uliofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika bandari ya Wete
Pemba.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akizungumza na Wananchi wa Wilaya ya Wete Pemba katika uzinduzi
wa Meli Mpya ya Mizigo na Abiria MV Ikraam 1,uzinduzi huo umefanyika
katika Bandari ya Wete Pemba.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Mabahari wa Meli Mpya ya Abiria
na Mizigo ya MV Ikraam 1, baada ya kuzinduliwa rasmin, katika Bandari ya
Wete Pemba, ikifanya safari zake kati ya Unguja na Pemba.
BAADHI
ya Wananchi wa Wilaya ya Wete Pemba wakifuatilia hutuba ya Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza baada ya kuizindua Meli Mpya ya
Abiria na Mizigo ya MV.Ikraam 1,uzinduzi huo umefanyika katika Bandari
ya Wete Pemba.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akitoka katika Meli ya Abiria na Mizigo ya MV Ikraam 1,baada ya
kuizindua rasmin katika Bandari ya Wete Pemba, ikifanya safari zake kati
ya Unguja na Pemba.(Picha na Ikulu)
Post A Comment: