Watu 6 Mbaroni kwa Tuhutuma za Kuwashambulia na Kuwarekodi Video za Utupu Watu wawili Waliodaiwa Kufumaniwa MSUMBA on August 10, 2021 Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia watu sita kwa tuhuma za kuwashambulia na kuwarekodi video za utupu watu wawili wanaodaiwa kufumaniwa na kusambaza kwenye mitandao ya kijamii. Share To: NextNewer Post PreviousOlder Post MSUMBA View Profile
Post A Comment: