Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Yanga, Yusuph Manji leo Juni 27 ni miongoni mwa waliohudhuria mkutano wa wa Yanga.

Manji alipata nafasi ya kusalimiana na Mwenyekiti wa Yanga kwa sasa ndugu Mshindo Msolla pia alipata fursa ya kuwasalimia mashabiki wa Yanga.

Mkutano unafanyika Kwenye ukumbi wa DYCCC, Chang'ombe, Dar kuanzia asubuhi huku ajenda kubwa ikiwa ni kuelekea kwenye Kwenye mabadiliko.
Share To:

Post A Comment: