Ni zao linalokubali kwenye ardhi ya kichanga na huchukua takribani miezi minne hadi kuvuna kwake.

Matumizi yake:
1. Hutumika kama kiungo kwenye chai
2. Hutumika kutengenezea sabuni
3. Hutumika kutengenezea dawa za malaria
4. Hutumika kutengenezea dawa za U.T.I
5. Hutumika kutengenezea dawa za msongo wa mawazo
6. Hutumika kutengenezea manukato (perfumes)
7. Hutumika kutengenezea Airfresher kwa ajili ya matumizi ya salon, kwenye ndege, mabasi n.k
Share To:

msumbanews

Post A Comment: