Chama cha Wasemaji wa serikali 'TAGCO' wameongelea kuhusu mkutano utakaofanyika Arusha wa wasemaji waserikali ambao  utafanyika Tarehe 12-16 mwezi wat tatu mwaka 2018 na lengo wa mkutano huo ukiwa ni kuwajengea uwezo wasemaji waserikali juu ya utekelezwaji wa malengo au majukumu ya serikali hususani katika serikali ya tano.

Mwenyekiti wa chama hiko Bw. Pascal Shelutete amesema wasemaji wa serikali ndio wenye jukumu la kuhakikisha kutoa taarifa la kila kinachoendelea serikalini, na waweze kuhakikisha umma wa watazania wanajulishwa kila kinachoendelea.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: