SeeBait


Mchoraji wa katuni Masoud Kipanya amekamatwa na Jeshi la Polisi muda mfupi uliopita kwa tuhuma za uchochezi baada ya kuchora katuni inayodaiwa kuwa inachonganisha serikali na wananchi.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: