Msanii wa muziki wa Bongo fleva Aslay amefunguka na kusema kuwa msanii Dogo Janja yeye ndiye alikuwa anamvia Irene Uwoya na kusema ni kweli sasa wameoana na wanaishi kama mume na mke.

Aslay amesema hayo alipokuwa kwenye kipindi cha Frida Night Live (FNL) na kusema kuwa yeye anachojua watu hao saizi ni mume na mke na si kweli kuwa Irene Uwoya kwamba alikuwa anamvizia sana Dogo Janja bali yeye anaamini kuwa huenda Dogo Janja ndiye alikuwa anavizia penzi la Irene Uwoya.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: