Siku
kadhaa zilizopita katika mitandao mbalimbali ilisambaa picha ambayo
inaonyesha moja ya bidhaa ya juisi ambayo inatengenezwa na moja ya
makampuni ya SSB (Bakhresa Food Products Limited) ikionyesha
imetengenezwa Oktoba, 19 tarehe ambayo bado haijafika, kampuni ya SSB
imetoa taafa kwa umma kuhusu bidhaa hiyo.
Post A Comment: