Hii ndiyo hali halisi ya stendi hii ya mabasi nane nane jijini Mbeya giza limetawala kituoni hapo na vibaka nao wanatumia nafasu hiyo kuwapora abiria mizigo yao
Baadhi ya mabasi yakiingia toka Dsm taa za mabasi hayo ndiyo yanayo saidia mwanga wa muda tu yaingiapo yakitoka tu giza lipo pale pale
Hj
Tunaimani ujumbe umefika kwa wahusika
Post A Comment: