WAKAZI WA BUKOBA WALALA NJE YA NYUMBA ZAO .

Usiku wa kuamkia september 12 Majira ya saa Tano Usiku wakazi wa Bukoba wamekumbwa na Tetemeko tena

Tetemeko hili
la pili ambalo ni dogo halijaripotiwa kusababisha majeruhi au vifo mpaka usiku wa saa nane lakini limeleta hofu kwa wakazi wa Bukoba ambao baadhi wameamua kutoa magodoro nje ya nyumba zao na kulala kwa kuhofia tetemeko linaweza kutokea tena usiku na kuwakuta ndani ya nyumba zao.
Share To:

msumbanews

Post A Comment: