Mbunge wa Viti Maalum Wilaya ya Chunya Mkoani Mbeya ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maji Maryprisca Mahundi amekabidhi mradi wa kalasha kwa UWT Wilaya wenye thamani ya 9.5m na shilingi laki tano kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya Katibu wa UWT Wilaya ya Chunya.


Mwaka jana alikabidhi 5m kwa ajili ya ujenzi huo ambapo zimefyatua tofali na usombaji wa mawe ya msingi.


Pia mwaka jana aliwawezesha wanawake mitaji na kuwagawia majiko ya gas ili kutunza vyanzo vya maji na kuhifadhi mazingira.


Share To:

Post A Comment: