Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo (kulia) akimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar) Dkt. Abdallah Juma Saadalla (Mabodi) mara baada ya kufika nyumbani kwake Chukwani,Unguja na kumfariji baada ya mtoto wake Rubani Ashraf Abdallah Juma kupata ajali ya na ndege nchini Comoro mwishoni mwa mwezi februari,2022.
Share To:

Post A Comment: