Friday, 5 November 2021

RAIS SAMIA AZINDUA KONGAMANO LA KUMBUKIZI YA MAISHA YA MAALIM SEIF SHARIF HAMAD

 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia kwenye ufunguzi wa Kongamano la Kumbukizi ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad lililofanyika leo tarehe 05 Novemba, 2021 katika ukumbi wa Golden Tulip, Zanzibar.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Bi Awena Sinani Masoud aliyekua mke wa Hayati Maalim Seif Sharif Hamad baada ya kufungua Kongamano la Kumbukizi ya Maisha ya Maalim Seif Sharif Hamad lililofanyika leo tarehe 05 Novemba, 2021 katika ukumbi wa Golden Tulip, Zanzibar.

 

No comments:

Post a Comment