Thursday, 4 November 2021

PICHA 30 : MUONEKANO WA JIJI LA ARUSHA BILA MACHINGA

 


Siku chache baada ya Serikali Mkoani Arusha kuendelea na utekelezaji wa agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan juu ya kuwapanga wafanya biashara ndogondogo maarufu Machinga,hatimae Serikali Mkoani humo kwa kushirikana na uongozi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, imeendelea na utekelezaji wa zoezi hilo kwa kuwapanga wasakatonge hao katika maeneo rasmi ili kuendelea na shughuli za uzalishaji katika biashara zao.  Muonekano wa Barabara ya kuingia Stand kuu ya Mabasi 

Hali ilivyo nje ya Soko Kuu la ArushaMuonekano wa mitaa mbalimbali ya FriendsCorner
Hali ilivyo katika barabara ya Idara ya Maji Baada ya Machinga kuondolewa

5 comments:

 1. Kilicho salia ni kufanya usafi hayo maeneo mji upendeze.

  ReplyDelete
 2. Ni kweli jiji limerudi kwenye hazi yake

  ReplyDelete
 3. Yes inapendeza. Hilo ni jiji la kitalii linatakiwa liwe safi

  ReplyDelete
 4. Duh afazali bora kwa kweli kama maeneo ya stand ilikuwa kero sana

  ReplyDelete